Mphamvu JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 10,702 Reaction score 3,351 May 27, 2012 #21 CUTE said: aku! siwezi kabisa yanini kufa kisa mpnz tumekutania ukubwani kila mtu akiwa na meno 32 yote jah! Click to expand... Cute ungezaliwa Mwitongo ungeolewa na Nyerere, biblia imetutaka kuuheshimu uhai.
CUTE said: aku! siwezi kabisa yanini kufa kisa mpnz tumekutania ukubwani kila mtu akiwa na meno 32 yote jah! Click to expand... Cute ungezaliwa Mwitongo ungeolewa na Nyerere, biblia imetutaka kuuheshimu uhai.
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,230 May 27, 2012 #22 pagumu hapa. . . Hebu jiulize upo tayari kufa kwa ajili ya mwenzio?
mtotowamjini JF-Expert Member Joined Apr 23, 2012 Posts 4,525 Reaction score 1,179 May 27, 2012 #23 afu ukifa..yeye aje atoke na mtu mwingine...
cartura JF-Expert Member Joined Aug 13, 2009 Posts 3,026 Reaction score 789 May 27, 2012 #24 Companero said: Nilikuwa tayari kula shaba kwa ajili ya aliyekuwepo, sina hakika kuhusu atakayekuwepo Click to expand... ulikuwa tayari kula shaba kwa ajili yake halafu akakutosa au?
Companero said: Nilikuwa tayari kula shaba kwa ajili ya aliyekuwepo, sina hakika kuhusu atakayekuwepo Click to expand... ulikuwa tayari kula shaba kwa ajili yake halafu akakutosa au?
Companero Platinum Member Joined Jul 12, 2008 Posts 5,609 Reaction score 1,735 May 27, 2012 Thread starter #25 cartura said: ulikuwa tayari kula shaba kwa ajili yake halafu akakutosa au? Click to expand... no comment
cartura said: ulikuwa tayari kula shaba kwa ajili yake halafu akakutosa au? Click to expand... no comment
Companero Platinum Member Joined Jul 12, 2008 Posts 5,609 Reaction score 1,735 May 27, 2012 Thread starter #26 mtotowamjini said: afu ukifa..yeye aje atoke na mtu mwingine... Click to expand... utakuwa umeshakufa hivyo hiyo haitakuhusu tena
mtotowamjini said: afu ukifa..yeye aje atoke na mtu mwingine... Click to expand... utakuwa umeshakufa hivyo hiyo haitakuhusu tena
Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,140 May 27, 2012 #27 Companero said: Hivi nimekukosea nini Lizzy, mbona huwa unakuwa mkali sana kwangu? Click to expand... Na wewe unamgwaya Lizzy kama bishanga anavyomgwaya?
Companero said: Hivi nimekukosea nini Lizzy, mbona huwa unakuwa mkali sana kwangu? Click to expand... Na wewe unamgwaya Lizzy kama bishanga anavyomgwaya?
Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,140 May 27, 2012 #28 Lizzy said: Yummy usinione. . . Nanii anaoga ndio nikaona nijiachie hapa mpaka arudi. Click to expand... Si unitaje kwa jina kuwa bishy anaoga?
Lizzy said: Yummy usinione. . . Nanii anaoga ndio nikaona nijiachie hapa mpaka arudi. Click to expand... Si unitaje kwa jina kuwa bishy anaoga?
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,484 May 27, 2012 #29 Bishanga said: Si unitaje kwa jina kuwa bishy anaoga? Click to expand... Hivi hata ukiogelea mtoni unaoga ehhhh? Umenikumbusha kuoga na naniii leo ili nisipate muda wa kuchungulia huku akiwa hayupo.
Bishanga said: Si unitaje kwa jina kuwa bishy anaoga? Click to expand... Hivi hata ukiogelea mtoni unaoga ehhhh? Umenikumbusha kuoga na naniii leo ili nisipate muda wa kuchungulia huku akiwa hayupo.