View attachment 50518
Slightly used but still new and in excellent workingcondition. This camera has extremely powerful ultrazoom option that shootsgreat pictures and nice videos along with easy night shots.
Megapixel Super Exmor™CMOS Image Sensor
Optical SteadyShot™ ImageStabilization
Professional QualityG-Lens
20x High Zoom and 28mmWide Angle Lens
High Speed Shooting (10fps)
Sweep Panorama Mode
BIONZ™ imageprocessor
Anti-Motion Blur andIntelligent Auto Mode
Smile Shutter™ Technology
Stamina® BatteryPower
HD movie recording atup to 1440×1080 at 30 fps
Weight withoutbatteries 514g
Call me on 0710305149....offer valid while stocks last
PRICE: 500,000/=
Kaka mimi nimeona hiyo ni Sony lakini sijui ni model gani ,ulizoweka ni specs lakini sijaona model,tafadhali weka model kwani Sony ziko nyingi,model ni muhimu ili kujua hata ufanisi wake wa kazi ,pamoja na kuweka hapa ,unaweza kuweka za model inginespecification zote za camera including model hizo hapo mkuu na bidhaa yenyewe inalook the same kama hiyo picha...
niwie radhi kaka kama sijakuelewa kidogo Moving kwa maana ipi mkuu?
Kaka mimi nimeona hiyo ni Sony lakini sijui ni model gani ,ulizoweka ni specs lakini sijaona model,tafadhali weka model kwani Sony ziko nyingi,model ni muhimu ili kujua hata ufanisi wake wa kazi ,pamoja na kuweka hapa ,unaweza kuweka za model ingine
Alikuwa anamaanisha moving video
Kwa hiyo ni used?
300k cash!!
Mkuu mimi naipenda hiyo kitu, nipo Kigoma nitaipataje!
Mkuu usisumbuke kwa huyu bwana! Mimi nimem PM na yeye akani PM lakini anaishia kunipa namba za simu za mtu mwingine eti niwasiliane naye anakuja na mzigo kutoka Nairobi! Inaelekea huyu bwana ni dalali asiyekuwa na uhakika wa kazi yake.ukijapata camcorder iwe Sony,JVC,Panasonic 32 GB nakuendelea tuje tuambiane mkuu