V viking JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 2,290 Reaction score 1,428 Jun 28, 2019 #1 Nauza camera Nikon D50 pamoja na memory card,Camera ipo katika hali nzuri ,Bei Tsh 600000.00 .Piga simu 0712652110 Dar Attachments image.jpeg 230.1 KB · Views: 24 image.jpeg 251 KB · Views: 24
Nauza camera Nikon D50 pamoja na memory card,Camera ipo katika hali nzuri ,Bei Tsh 600000.00 .Piga simu 0712652110 Dar
Akili 09 Nguvu 01 JF-Expert Member Joined Jun 23, 2015 Posts 695 Reaction score 1,398 Jun 28, 2019 #2 Hiyo bei ni Laki 6(600,000/=) au ni Elfu sitin (60,000)memory card ina ukubwa gan
V viking JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 2,290 Reaction score 1,428 Jun 28, 2019 Thread starter #3 Akili 09 Nguvu 01 said: Hiyo bei ni Laki 6(600,000/=) au ni Elfu sitin (60,000)memory card ina ukubwa gan Click to expand... Laki 6
Akili 09 Nguvu 01 said: Hiyo bei ni Laki 6(600,000/=) au ni Elfu sitin (60,000)memory card ina ukubwa gan Click to expand... Laki 6
robert sendabishaka JF-Expert Member Joined Dec 11, 2015 Posts 3,144 Reaction score 3,338 Jun 29, 2019 #4 60,000!!!!! au ni mbovu mkuu!
V viking JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 2,290 Reaction score 1,428 Jun 29, 2019 Thread starter #5 robert sendabishaka said: 60,000!!!!! au ni mbovu mkuu! Click to expand... Soma maelezo sio unakurupuka tu
robert sendabishaka said: 60,000!!!!! au ni mbovu mkuu! Click to expand... Soma maelezo sio unakurupuka tu
Ulimbo JF-Expert Member Joined Aug 14, 2009 Posts 3,766 Reaction score 4,048 Jun 29, 2019 #6 viking said: Soma maelezo sio unakurupuka tu Click to expand... Rekebisha tarakimu. Umeandika 60000 (Bei Tsh 60000.00 .Piga simu 0712652110) sasa mtu anakurekebisha, wewe unasema anakurupuka. Nani kakurupuka kati yako au yeye?
viking said: Soma maelezo sio unakurupuka tu Click to expand... Rekebisha tarakimu. Umeandika 60000 (Bei Tsh 60000.00 .Piga simu 0712652110) sasa mtu anakurekebisha, wewe unasema anakurupuka. Nani kakurupuka kati yako au yeye?
robert sendabishaka JF-Expert Member Joined Dec 11, 2015 Posts 3,144 Reaction score 3,338 Jul 1, 2019 #7 viking said: Soma maelezo sio unakurupuka tu Click to expand... ukijifunza adabu utakubalika na wengi. tukuelekeze bure ili ukosoe maandishi yako unaleta jeuri. awali uliandika 60000 baada ya kurekebisha unaleta dharau badala ya shukurani!! watanzania mtasubiri sana kuteka soko la mitandaoni.
viking said: Soma maelezo sio unakurupuka tu Click to expand... ukijifunza adabu utakubalika na wengi. tukuelekeze bure ili ukosoe maandishi yako unaleta jeuri. awali uliandika 60000 baada ya kurekebisha unaleta dharau badala ya shukurani!! watanzania mtasubiri sana kuteka soko la mitandaoni.