camera inauzwa tsh 395000

hapana mkuu rangi ndo hiyo au wataka ya kijani hahaha hazipo
 
hapana mkuu rangi ndo hiyo au wataka ya kijani hahaha hazipo

Ingekuwa kijani na njano pale kati, ningechukua faster, hii ngoja migambo wataichukua.
 
mkuu bei ipo reasonable kabisa kutokana na specs zake ina optical zoom 8x ni kubwa mkuu waweza kuvuta picha ya mbali ukaipata kirahisi na megapixel kubwa pia ndo maana bei inakuwa juu kidogo ila camera za bei ya chini zipo pia una angalia mfuko wako kama una afford,
 
Nimependa ulivyotoa tangazo lako na hivi ndivyo tunatakiwa tunapotoa matangazo ya kuuza vitu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…