camera canon/nikon

Joined
May 7, 2017
Posts
27
Reaction score
2
Habari wadau nina mahitaji ya camera aina ya canon au Nikon iwe katika conditions nzuri
napatikana dar es salaam.
contacts 0625503796/0763175222
email: sstansloustheobard gmail.com
 
Habari OP! Bado unahitaji camera? Ipo Canon 650D bei yake ni 850,000 tu
 
Hapana. Hii ni professional Camera huwa hazina WiFi. Zenye WiFi huwa ni ndogondogo tu
Hapana zipo profesional camera zenye wifi mfano Nikon D7100,D7200 na nyingine za sasa nyingi yeye atangaze tu anabei gani tumpe mzigo huku mpakani kila kitu kinapatikana
 
ushauri tu mkuu... vitu vya electronics kama camera jitahidi sana ununue mpya shop na warranty


kwa nini tununue mpya dukani?

camera ya kuuziwa barabarani yenye shutter count ndogo ubaya wake nini?
 
naweza shawishika kuiuza nina nikon D300
nilinunua nje miaka kadhaa iliyopita sijawahi kuitumia zaidi ya mara 5 kupiga picha zaidi ya 100 kwa wakati mmoja
ina lens protector
ina lens ya 200m
bado ni mpya
nishawishi nikuuzie
 
kwa nini tununue mpya dukani?

camera ya kuuziwa barabarani yenye shutter count ndogo ubaya wake nini?
Huyu naye imani imemkaa, mimi napenda mtumba kuliko Dukani nimekuwa nanunua sana Tunduma hasa disemba wanaleta bidhaa nzuri toka south Afrika
 
Huyu naye imani imemkaa, mimi napenda mtumba kuliko Dukani nimekuwa nanunua sana Tunduma hasa disemba wanaleta bidhaa nzuri toka south Afrika


huko kwenyewe zinakotengenezwa wanauziana mitaani na mitandaoni, sembuse Afrika? Kinachoshauriwa usinunue used ni chupi, ambayo nayo bado conservationists and microbiologists wana debate kwa sababu ukiiweka kwenye 2% bleach solution ukatoa ukaitia kwenye maji at 100 °C for 5 minutes inakuwa salama kuliko ya dukani.

Sembuse camera ya mkononi? Watu wanajisemea tu, "nunua ya dukani," muulize kwa nini, hana jibu, kajitamkia tu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…