Haina kasoro nilisafiri nimepata zingine cannone 1100, nikon mbili nimeona niuze tuu moja hiyo na hapa sijaitumia ila nilinunua used SA na guarantee walinipa...
haina kasoro yeyote nimepata Camera zingine tatu Canonne moja na Nikon mbili nimeona nitoe moja tuu hiyo na kwa hapa sijaitumia ingawaje nilinunua used SA na guarantee huwa wananipa..