F Frank M Clement Senior Member Joined Aug 7, 2014 Posts 182 Reaction score 58 Jun 24, 2019 #1 Nauza camera yangu aina ya sumsung bei laki moja na nusu (150,000). Mazungumzo yapo kwa aliyenauhitaji. Mambo ya uchumi yamenibana sana mpaka nauza camera yangu
Nauza camera yangu aina ya sumsung bei laki moja na nusu (150,000). Mazungumzo yapo kwa aliyenauhitaji. Mambo ya uchumi yamenibana sana mpaka nauza camera yangu
Joselela JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 6,863 Reaction score 9,734 Jun 24, 2019 #2 Bila picha uchumi utaendelea kubana
Mayor of kingstown JF-Expert Member Joined Feb 19, 2017 Posts 2,921 Reaction score 4,216 Jun 24, 2019 #3 Camera kalii sana iyo hasa iyo picha ya pili