Kwa habari nilizozipata katika chanzo cha habari ni kwamba zile interview za mameneja teyari kwa hiyo zikimaliza hizo za juniour mchakato utakuwa teyari,hataa hivyo interview ya director general bado haijazaa matunda kwa kukosekana yule anayekidhi viwango kati ya wale waliofanyiwa interview.but pia mchakato unaweza kufanywa for appointing some one .