Ila haya mshirika ya hifadhi za jamii sina imani nayo kabisa ktk suala la ajira. Kujuana kumekuwa ni kwingi sana. Isije kuwa hata zile wrtn intrvw zao zilikuwa ni just for formality,ila kuna watu wao tyr waliwaandaa..