wamisri wanataka kugomea utawala wa sharia na wanamgambo wa kiislamu wantumia nguvu kuwaladhimisha wakubali sharia. sasa tutegemee nini kutoka misri? Kufa kwa soka! kutoa wakimbizi wengi! vita vya wenyewe kwa wenyewe! Uchumi kuanguka na secta za utalii kufa!
Mbaya zaidi ni pale hao muslim brotherhood kujiingiza kisirisiri katika siasa za nchi za nje kama ilivyo kwa Iran. waarabu kuibomoa upya Africa?