Naomba tujadiliane kidogo namna ya kuangalia huu mpira mda ukifika je kuna app yoyote tunaweza kuangalia binafsi niko kwa mazembe na mamelod washinde wakiingia finali wao wachague nani achukue watakuwa wamenipunguzia mzigo maana hapa nawaza uefa ma europa
Kuna haja ya kila mtu kuwa na kingamuzi cha dstv maana ZBC2 Nikama walinunua haki za kuonyesha mechi za simbatu. Dstv ndio wanajua nini maana ya burudani kwa wote.