Huu ni wakati muafaka wa kuanzisha mashindano ya kitaifa ya soka la ufukweni.Tunashukuru wana vyuo kama CBE,IFM,UDSM wanashiriki mchezo huu na wanaupenda.Angalau tuna pa kuanzia.Support ya FIFA na CAF hasa katika kufundisha makocha na waamuzi inatusaidia sana.Fursa ipo kubwa kwa watanzania wanaotaka kuwa makocha na waamuzi wa beach soccer,jitokezeni mtafanyiw training.Mechi ya leo waamuzi (ni watano) wametoka Shelisheli,Madagascar na Senegal
.Kumbe tungekuwa na wa kwetu nao wangepata fursa ya kwenda nje na kutangaza jina la nchi yetu.