Cadillac Escalade

Econometrician

JF-Expert Member
Oct 25, 2013
15,802
28,467
Wadau,habari zenu!.kulikuwa na kijikazi fulani nafanya hapa Dsm kwa miez 5 hv ambapo nili2mia masaa 7 kati ya 10 kila cku kuzunguka hili Jiji hasa maeneo ya posta,masaki,mikocheni,msasani,mbezi beach na mwenge hvyo nilipata fursa ya kuona aina za magari tofauti tofaut kuna cku 1 tu kati ya cku tkrbn 150 niliona hili gari maeneo ya ocean road.Nilijiuliza hili gari ni gharama sana ama? Au bei yake ni ndogo sana ukicompare na mengine ya gharama? au yamisha pitwa na wakati?,pia kwa anefahamu bei yake either new or used naomba unifahamishe
 
...matafute S. Lugumi anajua bei ya hiyo kitu...
 

https://www.facebook.com/media/set/?set=a.311640572319197.1073741832.310725752410679&type=1
 


2006 Cadillac Escalade 4dr SUV
 


[h=5]Nunua Ndege, Helicopter, Meli Na Magari Kutoka Marekani[/h]
 

Cadillac Escalade latest model ya 2014 bei yake ni chini ya Toyota Landcruiser V8 mpya ya 2014. Bei zimepishana kwa kama dola 20,000 hivi.
 
Kati ya SUV's ninazozifahamu V8 ($79,000) ni the most expensive ikifuatiwa na toyota highlander/jeep grand cherokee.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…