Contact:-[B]
Saqqa Web Consultants
www.saqqawebconsultants.com
email- [EMAIL="sales@saqqa.org"]sales@saqqa.org[/EMAIL][/B]
umesema kweli, vipi kuhusu hosting ni shilingi ngapi?nakubali facebook ni nzuri kutangaza biashara !
LAKINI,
kama kampuni hayna website na unatumia FREE EMAIL ADDRESS ... I really wonder, how unprofessional it sounds !
🙂
<br />Kuwa wazi acha kuwachanganya watu hizo gharama ni pamoja na web hosting au kuidizaini na kuipanga tu?
mkuu kuna web yoyote uliyotengeneza tuone kazi zako'kama mtu yuko mbali na wewe utaratibu gani unatakiwa'je uta register kwa google wee mwenyewe?
saqqawebconsultants.com and saqqa.org hizo zote ni website moja ... domains nifauti tuu, and zote zina fanya kazi bilashida.Kwenye link ya website yako tafadhali reconcile saqqawebconsultants.com na saqqa.org maana inadorora sana na sikuweza kukupata kwenye dotcom but kwenye dotorg. Kila la heri! Mbona TOS na Rules and Regulation look the same!! au bado uko kwenye construction stage???
OFA YA WEB-HOSTING
$30 only with DOMAIN NAME. and UNLIMITED EMAIL ACCOUNT
DONT MISS !!!