Business Is Booming in VATICAN.

Status
Not open for further replies.
mi na''enjoy'' super bowl tu hapa...
 
Na nyie mtaendelea Kuwaibia Waumini wenu mpaka dunia imalizike!
Huo ndio ujanja Sio? Hata huruma hamna!
Dah!!
hata maandiko yanasema msifuate matendo yao fuateni maneno yao, sasa BAKWATA wameuza kiwanja pale mnajidai mnaandamaaana ndo mana polisi wakawatoa ngeu, sasa wenzenu wakale polisi
 
hata maandiko yanasema msifuate matendo yao fuateni maneno yao, sasa BAKWATA wameuza kiwanja pale mnajidai mnaandamaaana ndo mana polisi wakawatoa ngeu, sasa wenzenu wakale polisi

We ni mmoja ktk mamilioni ya wagalatia wasio na elimu yyt wala maarifa!
Ndio maana Unakuta Padri mzinifu na wewe unajua kabisa kuwa huyu jamaa kwa Machangudoa ni balaa halafu huyo huyo unamuendea Kanisani akakusamehe madhambi yako ya uzinifu!

Yaani nyie ni wasanii wa ajabu sana.

We endelea kuFuata maneno tu! Usipojichunga utaondoka na EBOLA.

Shauri yako.
 
habarimpya.com - Bakwata yamkana Sheikh Ponda mahakamani
ona hapo, sasa wenzenu wakale wapi, afu usiniquote mana sitakujibu
 
This booming business is similar na ile ya ISIS na alshaabab kuteka watu na kudai 200M dollars... the only difference between the two ni kwamba mmoja anaua bidhaa yake (in the name of Allah) na mwingine anakwiba kwa makaratasi (katika jina la Yesu)
 
habarimpya.com - Bakwata yamkana Sheikh Ponda mahakamani
ona hapo, sasa wenzenu wakale wapi, afu usiniquote mana sitakujibu

Wakale kwa yule muanzilishi wa mfumo kristo kule butiama.

Jamaa kafa katuachia balaa lake la bakwata.
Na nyie wagalatia mnapiga vigelegele tu.
Iko siku hio bakwata yake itamfuata huko huko Kuzimu.
Mzee yule alikuwa Laana kubwa sana ya taifa letu.
Mungu amuongeze Adhabu huko aliko.
Sema amen mgalatia.
 

Akirudi mwandishi anasema hatavuka gate la bank watamfunga
 
Umezaliwa masikini, utaishi masikini na utakufa masikini. Wacha watu watengeneze pesa, maisha yenyewe mafupi wewe unabaki kushikilia dini za kimasikini.

Huenjoy maisha na hata huko peponi unapopawaza hufiki.

You're just a waste in this world bora ungekuwa mbwa utulindie mageti yetu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…