Na iwe kwako kama unavyoamini!!...Sio kila mwehu atakutabiria na Mungu hatabiri uovu juu yako bila kukupa mlango wa kutokea!!....…Psalm 127:6The sun will not smite you by day, Nor the moon by night. 7The LORD will protect you from all evil; He will keep your soul. 8The LORD will guard your going out and your coming in From this time forth and forever.…Hahhaaaaaa!!! Ebu mulize mfalme ahabu ( the king of Israel) what happened to him !! Alipenda kutabiriwa mema na si mabaya!!! Lakinia mbaya yalimpata kwa kupinga unabii
Hao watabiri wako walitabiri Mugabe angekufa miaka miwili iliyopita. Ikawaje hadi leo?Hahhaaaaaa!!! Ebu mulize mfalme ahabu ( the king of Israel) what happened to him !! Alipenda kutabiriwa mema na si mabaya!!! Lakinia mbaya yalimpata kwa kupinga unabii
Bushiri ni devil worshiper
Hahahaha dahSiku zako zina hesabika ...