Wanajeshi (Hawajatajwa kuwa ni wa wapi) wamepelekwa katika mji mkuu wa Burundi, Bujumbura, kuyazima maandamano dhidi ya utawala wa Rais Pierre Nkurunziza anayetaka kugombea muhula wa tatu katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa mwezi ujao.
wanaomtaka Nkurunziza kuachia madaraka wamerejea tena barabarabi hii leo baada ya jaribio la mapinduzi kushindwa wiki iliyopita.
Chanzo: DW
Mkuu rekebisha bandiko lako tufahamishe hao wanajeshi wanaopelekwa wanatoka wapi.Wanajeshi wamepelekwa katika mji mkuu wa Burundi, Bujumbura, kuyazima maandamano dhidi ya utawala wa Rais Pierre Nkurunziza anayetaka kugombea muhula wa tatu katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa mwezi ujao.
wanaomtaka Nkurunziza kuachia madaraka wamerejea tena barabarabi hii leo baada ya jaribio la mapinduzi kushindwa wiki iliyopita.