darcity JF-Expert Member Joined Jul 20, 2009 Posts 9,376 Reaction score 18,467 Dec 12, 2018 #1 Timu inayoshiriki Ligi kuu Uingereza Bunley imeonyesha nia ya kumuongeza Mbwana Samatta kwenye safu yake ya ushambuliaji. Tayari imeshatuma watu kumfuatilia. Timu nyingine zinayotajwa ni West Ham na Everton. Huku Everton ikipewa nafasi zaidi kumpata ushambuliaji huyo Chanzo: African All Stars Transfer News & Rumours: PSG join race for Manchester United’s Eric Bailly – Just another WordPress site
Timu inayoshiriki Ligi kuu Uingereza Bunley imeonyesha nia ya kumuongeza Mbwana Samatta kwenye safu yake ya ushambuliaji. Tayari imeshatuma watu kumfuatilia. Timu nyingine zinayotajwa ni West Ham na Everton. Huku Everton ikipewa nafasi zaidi kumpata ushambuliaji huyo Chanzo: African All Stars Transfer News & Rumours: PSG join race for Manchester United’s Eric Bailly – Just another WordPress site
TAI DUME JF-Expert Member Joined Feb 20, 2014 Posts 11,472 Reaction score 31,644 Dec 12, 2018 #2 Kwa huu umri inabidi awe ameshaenda epl. Pray for him isivuke usajiri wa January
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 143,387 Reaction score 289,513 Dec 13, 2018 #3 Huyu naye sijui kapigwa zongo ? mara Westham mara Burnley , si aende basi !
N nguvu Platinum Member Joined Jun 13, 2013 Posts 24,818 Reaction score 24,760 Dec 13, 2018 #4 Hivi inabidi afanye nini ili aweze kuhitajiwa na man u, chelsea, liver, man cty na arsenal?