Buriani Kambale, umetesa sana Ukonga

Duuh aisee!! Huyu alikuwa na laana hadi baba yake alimfukuza......
 
Kama anaye-deal na bodaboda anaitwa jambazi, na wale ambao kuna siku walituvamia benki wakiwa na AK47 pamoja na mabomu ya kurusha kwa mkono tuwaitaje?!

Huyo ni mwizi tu anayetumia silaha dhidi ya raia wasio na silaha... pumbavu zake!
Jambazi maana yake ni nini???
 
Mshana Jr je damu ya huyu jamaa haitawalilia?
Kingine je huyu akitubu anaweza akaona pepo(" hapa kwa kuquote kile kifungu cha wa mwisho atakuwa wa kwanza na wa kwanza atakuwa wa mwisho) ?
Aendaye mbinguni ni siri ya MUNGU, yeye ndiye anahukumu. Ila alisema, ukitubu dhambi, ukadhamilia kuziacha, unasamehewa. So kama jamaa alicheza kama pele hapo, unaweza kuta yupo mapumzikoni

Kama yule aliye sulubiwa pemben na YESU
 

Mzee wa viwanja vya bui bui, karibia kwa mzee songambele, na yule walter..
 
Jambazi maana yake ni nini???
Mngenisoma kwa vituo, mngegundua kwamba concern yangu sio kuua watu au kutumia silaha bali unafanya tukio wapi!!

Mtu anayewafungia kazi madereva wa bodaboda au raia wasio na silaha kwangu huyo ni mporaji mpumbavu tu... na ndio maana nikatoa mfano na mtu au watu wanaoenda benki huku wakijua kabisa kwamba hapo kuna askari wenye silaha na mafunzo ya kiaskari!

Hao madereva wa boda boda na wananchi wa kawaida hata wewe unaweza kuwafungia kazi tena ukiwa na kisu tu mkononi!!!
 
Bora Ngonji walimuua angekuwepo na hili rumba watoto wengi wa Kino wangeshika silaha
 
Soma hapo. Usitoe maana kulingana na uonavyo , toa maana kulingana na Uhalisia wa neno.
 
Soma hapo. Usitoe maana kulingana na uonavyo , toa maana kulingana na Uhalisia wa neno.View attachment 1259024
Una kazi ngumu sana ya kuelewa!! Nimeshakuambia concern yangu ni nini, wewe unahangaika ku-Google kutafuta tafsiri inayofahamika hata na mtoto wa darasa la pili!

Kwani hata Panya Road si walikuwa wanatembea na silaha wale... je walikuwa na ubavu wa kuingia walipo wanaume na vya moto vyao?!

Jambazi w ukweli anabeba silaha kwa sababu anajua kabisa anaingie eneo la wanaume wenye silaha! Na usually ataua only when necessary Lakini mjinga mjinga mmoja unawabebea silaha madereva wa Bodaboda... sasa si boya tu huyo!
 
Bora Ngonji walimuua angekuwepo na hili rumba watoto wengi wa Kino wangeshika silaha
Ngonji alihamaga mitaa hiyo muda ila mitaa hiyo ilikuwa a napendaga Kuja
Wazee wenyewe wanakuambia Ngonji alikuwa na sifa mbili (1)ana shaba hatari (2)alikuwa anajua kutumia pikipiki balaa

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…