Jaman kufa pia ni sehemu ya maisha ya binadamu na hudumu nzuri kwa ajili ya kuhifadhi mwili wa marehemu ni jambo nzuri zaidi..
Mfano mm nilikaa moro kipindi fulani kuna mbunge pale yeye anatoa basi kila kwenye misiba hapo mjini nyie ni mnaweka mafuta tu yaani huduma hiyo inasaidia sana na inapunguza gharama za misiba/mazishi maana msiba haupigi hodi jaman.
Mungu awabariki wote wanaojitaidi kusaidia kuwasitiri marehemu kwa kutoa msaada wa namna yoyote hile maana ni ndugu zetu pia.