K kibaravumba JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 6,633 Reaction score 7,021 Dec 1, 2019 #1 Kitendo cha kuchagua nyimbo za wasanii wachache kime ni boa sana. Acheni wawe huru kuchagua msanii yeyote na wimbo wowote.
Kitendo cha kuchagua nyimbo za wasanii wachache kime ni boa sana. Acheni wawe huru kuchagua msanii yeyote na wimbo wowote.
issaaman JF-Expert Member Joined Dec 8, 2017 Posts 1,146 Reaction score 1,381 Dec 1, 2019 #2 Ipo chanel gani na saa ngapi
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 55,039 Dec 2, 2019 #3 Uandishi wako wenyewe hauna ladha unataka nani akupe ladha wakati wewe huwezi kutoa ladha kwa wengine.
Uandishi wako wenyewe hauna ladha unataka nani akupe ladha wakati wewe huwezi kutoa ladha kwa wengine.