kapama shauritanga Member Joined Jul 8, 2014 Posts 74 Reaction score 7 Sep 24, 2014 #1 jaman bachelor of science in applied zoology ajira zake niwapi hasa? je, mtu anaweza kuajiliwa serikalin au lah?
jaman bachelor of science in applied zoology ajira zake niwapi hasa? je, mtu anaweza kuajiliwa serikalin au lah?
Siafu na Manga JF-Expert Member Joined Aug 5, 2013 Posts 2,908 Reaction score 8,996 Sep 24, 2014 #2 Wakati unajaza hiyo kozi ulituomba ushauri????? Anyway ngoja wadau wa CoNas waje wadadavue
X-Agent JF-Expert Member Joined Jul 18, 2014 Posts 9,005 Reaction score 17,176 Sep 24, 2014 #3 kapama shauritanga said: jaman bachelor of science in applied zoology ajira zake niwapi hasa? je, mtu anaweza kuajiliwa serikalin au lah? Click to expand... hayo utajua ukimaliza wanaweza wasiajiri mwaka huu wakaajiri unaofuata kugeneralize nikubaya
kapama shauritanga said: jaman bachelor of science in applied zoology ajira zake niwapi hasa? je, mtu anaweza kuajiliwa serikalin au lah? Click to expand... hayo utajua ukimaliza wanaweza wasiajiri mwaka huu wakaajiri unaofuata kugeneralize nikubaya
Clemoo Member Joined Nov 27, 2011 Posts 72 Reaction score 16 Sep 24, 2014 #4 asee natafuta mtu WA kunibeba...vp ushapata mtu?