Naona leo walikuwa wanammulika set pieces coach wake....timu last season ilifungwa magoli mengi toka kwenye mipira iliyokufa...leo magoli mawili ya kwanza spurs wamefunga kwenye kona. Sasa unashangaaa tatizo bado linaendelea.
Ila yule son nyoko....goli zake balaaa