breaknews utumishiii

mmmmh zip tena jaman? me nakumbuka zile ambazo deadline yake ilikuwa tar 9 aprl.
 
Wezi tu hao tena washenzi hao ndo wanafanya ajira zinakuwa ngumu sana hapa Tanzania.Kila mara utaona kwenye matangazo yao eti Readvertised wakati wangeachiwa taasisi husika isingeweza kukosa wa kumwajili.Bora hii sijui secretariat ama tume ivunje ajira zisakwe kama ilivokuwa zamani
 
na nio vema sana walivyofanya kuwataarifu watu mapema maana ni busara sana hata kama kukosa mtu unajua mapema na kafanya mambo yaklo mengine
 
utumishi wazushi!!!!!!!!! ebu waulizen why re-advertised while they screened and call 4 interview
 
utumishi wazushi!!!!!!!!! ebu waulizen why re-advertised while they screened and call 4 interview

Kuitwa interview siyo kupata kazi,mi naona sekretarieti ya ajira inasaidia sana kuliko ilivokuwa awali! Waendelee ila waboreshe hasa suala la kuharakisha majibu ya interview wanazozifanya
 
Sijui sie wakina yakhe kama barua zetu zitakuwa zimeonekana
 
jamani naomba mnisaidie jambo moja kuhusu utumishi kuhusu sifa za kuomba kazi kwa mfano anaposema uwe umefaulu masomo ya kiswahili kingereza na hesabu je kama umefaulu mawili kati ya haya utakua na nafasi au ndio upo nje ya mashatri kwa wenye uzoefu msaada
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…