Note 5 unauzaje?Mate 8 sina kwa sasa zlikuwepo mbili zishauzwa, nimebak na mate 7, ila tuwasiliane tu chief...anytime nitakuwa na Mate 8 araf km kawaida yangu nikuuzie kwa bei ya kuvunja.
Namba yng ni 0654776976
Poa. Ngoja nijazie jazieBrand new nauza 1.2mil. Pungufu kidogo tunaongea...