"Wimbo mmoja kila wiki kwa wiki 10!" kupitia Mkito.com
Huu ni wimbo wa pili kutoka album mpya NEW DAY kutoka kwa Angel Benard - wimbo unaitwa SHUJAA.
View attachment 197592 SHUJAA.
Kuna wakati katika maisha tunakutana na mambo magumu na hakuna wa kukutia moyo, kwa sababu wengi waliotuzunguka ni watu ambao mara nyingi hufurahi tunapoumia. Huu ni wimbo ambao mtu unajikumbusha mwenyewe juu ya uhalisia wa maisha na kasha unajikumbusha kwamba you are the hero of your own soul. Mungu ametuamini na mitiani ya maisha, hivyo na sisi tunakubali kupambana na kila hali hadi kufikia ndoto zetu hata kama huko njiani kuna vikwazo.