Bei na mawasiliano yapo hapo juu boss
Nina matangazo sehemu mbalimbali Mkuu sio hapa tu, na nakutana na kuwasiliana na wateja wengi sana kwa siku, labda mtu amue kujitambulisha mwenyewe.Wengine humu hawataki kabisa wajulikane kama ni member wa JF achilia mbali kufahamu ID yake ndio maana yawezekana wanataka kufahamu duka lilipo kama kuna duka. Kama hakuna duka weka tangazo kwenye social media nyingine pia.
Ok, size inakuwaje sasa coz nataka nimchukulie rafiki. Mimi ni me.Kama unavyozioa hapo bra na chupi
Hiyo namba yako ya simu naruhusiwa kuitumia kwa mambo yetu yale my dear?[emoji4][emoji4][emoji4]Bei na mawasiliano yapo hapo juu boss
Nina matangazo sehemu mbalimbali Mkuu sio hapa tu, na nakutana na kuwasiliana na wateja wengi sana kwa siku, labda mtu amue kujitambulisha mwenyewe.
Mimi nauza online mzigo ninao nyumbani, nakuletea ama nakutumia Mkuu.