tawa driller
JF-Expert Member
- Dec 11, 2015
- 296
- 152
SalamHabari wana jukwaa,sisi tunajishughulisha na uchimbaji wa visima pamoja utafiti wa maji ( ground water survey ) kwa bei rahis.
Tunachimba kwa shillingi elfu sitini kwa mita moja na tunaweka pampu. Pia gharama za utafiti wa maji ( ground water survey ) ni shilingi 350000 tunapiga verse 2.
Tupo Dar es salaam piga simu namba 0655541948,0628080096
Nb: hizi bei ni kwa walioko Dar es salaam
Mkuu mvuti bei ni hiyo elfu sitini kwa mita mkuu na bomba zetu ni nchi 4.5Salam
Nina shamba lipo mvuti ktk geleza sehemu inaitwa magoza.
Nahitaji kufanyiwa driling,bila pump.
Sehemu ni offgrid nahitaji kuagiza pump za solar ambazo hutumii inverter.
Bomba zenu diameter yake ngapi?ili nipate kujua size ya pump.
Je na huko magoza mtanitoza kiasi hicho hicho.
Kama ni kiasi hicho,nipo tayali.
Je bila pump itakuwa kiasi gani . mfano mkichimba mita 50
Please ASAP
Mkuranga ni hiyo hiyo elfu sitini kwa mita pamoja na pampuMkuranga sehemu za Nyamaronda mtanitoza kiasi gani kwa mita pamoja na vifaa vingine
Mkoani tunachimba soft rock kwa laki moja kwa mita na hard rock ni laki na ishirini kwa mita mojaKwa mikoani kama Singida mnafika na gharama zitakuwaje ?
Mkuu nimeshakujibuNasubili jibu tawa driller
Mkuu kutoka mvuti stand hadi kwenye site yako pana umbali gani? Au ni safari ya muda gani? Be specificMvuti ni kubwa kiongozi. Ukifika mvuti kufika kwenye gereza pana mwendo kidogo. Kutoka hapo magereza kwenda ktk bonde la magoza mji mpya napo kuna mwendo. Ulizia unipe jibu la uhakika.
Nikupe kazi
Nimekusoma ni karbu kidogo na mkuranga.Mkuu kutoka mvuti stand hadi kwenye site yako pana umbali gani? Au ni safari ya muda gani? Be specific
Mkuu tutakuchimbia elfu sitini kwa mita ila tutaondoa gharama ya pampu ambayo ni laki tatuNimekusoma ni karbu kidogo na mkuranga.
Sio mbali sana.7to 8km
Ila. Mimi sihitaji pump.mtanichimbia kwa kiasi gani?
Ok. Kuna mtu atakupigia simu anaitwa Simon Laphael.Mkuu tutakuchimbia elfu sitini kwa mita ila tutaondoa gharama ya pampu ambayo ni laki tatu
Ok haina tatizo mkuuOk. Kuna mtu atakupigia simu anaitwa Simon Laphael.
My asst