bora yanga mliikataa azam tv

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,674
Reaction score
3,741
Hawa jamaa wanaupendeleo sana leo uwanja wa taifa walikuwa wanashoot mechi ya yanga na azam huku wakiionyesha kwenye big screen. Cha ajabu magoli yote yanga waliokuwa wakifunga jamaa hawakuwa wanayarewwind kwenye big screen kwa style hii inamaana itakuwa inawabeba tu azam
 
Kwa kanuni za FIFA big screen za uwanjani hazitakiwa kurewind kwa sababu watasababisha vurugu. Ukiona wanarewind hayo ni mahaba yao tu!
 

Itabidi kukata rufaa kwa nini hawakuwa wakirewind magoli ya Yanga.

CC: Patrick Nagi.
 
kweli bwana Azam tv imechangia sana yanga kufungwa jana mana wachezaji wa yanga walipokuwa wakifika golini walikuwa wanajiangalia kwenye big screen instead ya kufunga

pili Azam tv itaiaibisha yanga na soka lao la butua butua
hata mimi naamini Azam tv ni adui wa yanga mana wamesababisha timu ziwe na hela so hazihongeki kabisa
 

Kweli kabisa mkuu.
 
kateni rufaa FIFA kabisa maana tumewazoea sasa tv inauhusiano gan na matokeo ya mwisho ya uwanjani acha kukurupuka dogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…