Deal ya fasta faster, boots nzur za kiume zimebaki pair mbili tu, rangi ya blue, size 43 tu.. Napatkana dodoma, bei ni 60,000 fixed.... Mteja serious tuwasiliane 0652140160
Naamini utakuwa umeshauza,kama bado nakushauri peleka maeneo ya viwanja vya bunge au kwenye mahoteli waliko fikia waheshimiwa wabunge,maana wengi wetu kwa msimu huu hali ngumu kulipa 60,000/= kwa ajili ya kiatu.
Ni ushauri tu!