House4Sale Boma LA Nyumba linauzwa Mwanza

37 muzzy

Member
Joined
May 28, 2016
Posts
32
Reaction score
8
Mahali lipo: Kishili Bukaga
Kiwanja : Kimepimwa upimaji Shilikishi

Ukubwa Wa eneo Ni 40 * 35 m
Boma: Lina vyumba vitatu, viwili Master, sebure, Jiko, dining, store, public toilet
Materials: kokoto trip moja, trip 3 za mchanga, shimo la choo limichimbwa bado kujengwa tu.

Tofali 600 kwa ajili ya kozi za juu
Eneo lililobaki waweza jenga Nyumba nyigine kma hii na kubaki
Bei ni chee ni 16m. Fixed

NB: Sababu ya kuuza ni kwamba ninataka kurudi shule nikasome upya.. Haina dalalili unakutana na mm mwenyewe.

Zangatia kuwa bei ni fixed.


Contact 0624088286/0767973701
 
Mkuu hiyo ada ya 16m unaenda kusomea USA au kiingereza unaanza kututisha kama kusoma chuo mpaka mtu auze makazi....duh
 
Haya ni maeneo gani kuna umbali gani kutoka barabara ya lami?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…