Haha eti ada korofiUmenena vyema.Vyuo vya afya vyenye ada korofi ni KIU,IMTU na HKMU
Sahihi ni hiyo unayoongezea laki sabaIvi wakuu niliangalia ada ya medical lab ya KIU kwenye guide book ya 2016 /2017 nka kuta inabidii uongeze 2.2 million sasa juzi juzi nika danload guide book ambayo ni updated ya 2016 /2017 nikaona Ada imepungua adi lak 7 kwa hiyo hiyo coarse sasa najiuliza ipi, ni Ada sahihi, kwa anae jua kuhusu ili msaada plz
Heslb watatoa utata ukishapewa loan allocations yako!.Ivi wakuu niliangalia ada ya medical lab ya KIU kwenye guide book ya 2016 /2017 nka kuta inabidii uongeze 2.2 million sasa juzi juzi nika danload guide book ambayo ni updated ya 2016 /2017 nikaona Ada imepungua adi lak 7 kwa hiyo hiyo coarse sasa najiuliza ipi, ni Ada sahihi, kwa anae jua kuhusu ili msaada plz
[emoji120] [emoji120] [emoji120] kama wanatoa mkopo wote itakua hauwen kwa wa2 wa hali ya chini mkuuSahihi ni hiyo unayoongezea laki saba
vilaza[emoji17]poleni sana vijana, sie tuliosoma kipindi cha JK hatukupata shida hivyo, kwa sababu alijua wa-tz wengi ni maskini na ajira baada ya kumaliza chuo tuliziona waziwazi.Sasa hivi mnapukutishwa kila siku kisha mnaitwa ******
Siyo watu wa hali ya chini, Bali watu wenye kipato kidogo![emoji120] [emoji120] [emoji120] kama wanatoa mkopo wote itakua hauwen kwa wa2 wa hali ya chini mkuu