Huo sasa ni utaahira wamewabeba YANGA kwa lipi? Maana kanuni hizi zitaanza msimu huu ulioanza, maana yake mshindi wa pili wa msimu huu ulioanza ndy atawakilisha nchi au ushatabiri Yanga watakuwa washindi wa pili tena?Wapumbavu wameamua kuibeba yanga kwanini wasifute kombe la shirikisho kabisa
Yanga hamna uwezo wa kuchukua ubingwa wala shirikisho labda washindi wa pili msimu uliopita walijaribu kumbeba akakutana na kipigo kitakatu sijui kama umeelewa we nyaniHuo sasa ni utaahira wamewabeba YANGA kwa lipi? Maana kanuni hizi zitaanza msimu huu ulioanza, maana yake mshindi wa pili wa msimu huu ulioanza ndy atawakilisha nchi,au ushatabiri Yanga watakuwa washindi wa pili tena??
wameamua kuibeba Yanga kwanini wasifute kombe la shirikisho kabisa
Walifanya kila njia mwende kimataifa ila hesabu zao zilikataa. Wakaona waje na njia nyingineWashaona Simba hatoboi
Washaona Simba hatoboi
Hii ndo maana halisi ya umbumbumbu.Huo sasa ni utaahira wamewabeba YANGA kwa lipi?? Maana kanuni hizi zitaanza msimu huu ulioanza, maana yake mshindi wa pili wa msimu huu ulioanza ndy atawakilisha nchi,au ushatabiri Yanga watakuwa washindi wa pili tena??
Mbeleko fc anajulikanaWashaona Simba hatoboi
Walichobadili ni kwa mshindi wa pili wa kombe la Azam hatopata nafasi ya kushiriki kombe la shirikisho la Africa na nafasi hiyo itachukuliwa na timu iliyoshika nafasi ya pili katika msimamo wa ligi kuu endapo mshindi wa kombe la Azam ndiye huyo huyo aliyebeba kombe la ligi kuu.[emoji16][emoji16][emoji16] TFF wajanja sana.
Kwanini hii kanuni isingetumika msimu uliopita?...
Walichobadili ni kwa mshindi wa pili wa kombe la Azam hatopata nafasi ya kushiriki kombe la shirikisho la Africa na nafasi hiyo itachukuliwa na timu iliyoshika nafasi ya pili katika msimamo wa ligi kuu endapo mshindi wa kombe la Azam ndiye huyo huyo aliyebeba kombe la ligi kuu.
Kombe la Azam lina maana sana isipokuwa TFF vigeu geu wanatoa maamuzi yanayoamka nayo vichwani mwao hawajaweka sheria maalumu juu ya kufuzu klabu bingwa na shirikisho Africa na ndio maana ilipotokea zinatakiwa timu nne ziwakilishe nchi ndipo wakakurupuka kwa kutoa nafasi kwa Simba ambaye ndiye bingwa, Yanga aliyeshika nafasi ya pili, Azam aliyekuwa mshindi wa kombe la Azam na KMC ambaye alishika nafasi ya nne kwenye ligi.Tanzania ndio nchi iliyo na mambo ya ajabu kwenye kila kitu kwaiyo saizi kombe la azam alina manana.
AiseeKombe la Azam lina maana sana isipokuwa TFF vigeu geu wanatoa maamuzi yanayoamka nayo vichwani mwao hawajaweka sheria maalumu juu ya kufuzu klabu bingwa na shirikisho Africa na ndio maana ilipotokea zinatakiwa timu nne ziwakilishe nchi ndipo wakakurupuka kwa kutoa nafasi kwa Simba ambaye ndiye bingwa, Yanga aliyeshika nafasi ya pili, Azam aliyekuwa mshindi wa kombe la Azam na KMC ambaye alishika nafasi ya nne kwenye ligi..