TV4Sale BNL Electronics: Smart TVs, LED Tvs for sale!

BNL_ELECTRONICS

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
1,290
129
Dealer wa electronics mbali mbali kama TV, hometheatre, n.k bidhaa ni mpya zinakua na warranty ya mwaka mmoja

Kwa maelezo zaidi piga namba 0754891344/0713086602

NB: Tunafanya delivery mpaka mlangoni kwako na Mikoani tunasafirisha malipo unafanya unapokabidhiwa mzigo wako.

Location: Kinondoni makaburini opposite Barclays Bank tumepakana na Dar es salaam Pentekoste Church(DPC)
 
Weka bei tujue kama tutanunua kwako au vp,hasa tv kuanzia inch 24 mpaka 32
 

Muheshimiwa unaweza kuwa na projecta? Kama ndio naomba specifications na price tafadhal.
 
samsung hometheatre 300watts inaenda kwa 280,000tshs..unapata na warranty ya miaka miwili
 
Mimi ni dealer wa electronics mbali mbali kama tv, hometheatre, mafriji, AC n.k vitu ni vipya na warranty unakabidhiwa.
Kwa maelezo za zaidi piga namba 0754891344
NB: Tunafanya delivery mpaka mlangoni kwako...kwa maelezo kamili piga namba 0754891344
  • Ofisi zenu zipo mtaa gani?
 
Mimi nataka simu ya Sony Xperia Z3 nitapata kwa bei gani mkuu?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…