bmw ni model gani au harrier ni kampuni gani ...free lander ni nini??
kichwa cha habari kilipaswa kuwa hivi BMW , toyota au land rover
afu ndani ndo uelezee ni model zipi !! huwa nashangaa sana watu wakiulizwa ushawah kuwa na gari gani na gani mtu anasema eti may be harrier or passo rav4 na bmw what tha f....!! bmw ni kampuni unapaswa taja na model maana kuna watu wakisikia bmw wanachanganyikiwa kumbe ziko 3 series au haya makina x5 za 2005 bei rahisi kuliko kluger lakini wenye nazo kama kina mc pili pili huwa wanajisifu ujinga .....
back to the point ulivosema BMW ulikuwa unamaanisha nini?? modeli ipi yan au hujui kuwa bmw ni kampuni kama ilivyo toyota