Habari wakuu,mm nna tatizo 1 lmenikuta!majuzi nlinunua min laptop aina ya acer D270 wakati nmeinunua ilikuwa ina window starter lkn nikaitoa na kuweka window 7 ultimate sasa shida iliiyoko sa hv bluetooth,webacm hazionekan na card reader haisomi,natanguliza heshima kwenu wakuu