Matatu MkuuEleza zinakaa na chaji masaa mangapi ukiwa wasikiliza audio
Issue ni kusikika tu Mkuu,Earphone bila wire ni Kama umevaa hereni tu
Delivery ipo Mkuu, Ila utarefund nauliKwa tuliopo mjini tunapataje?
mkuu jitahidi kukata na kucha siku moja moja mkuu.
kwa hyo hata ukiskiliza audio ya simu mpaka uichaji au...?Matatu Mkuu
Hivi vidude navipenda sema tu vinachajiwa dk 15 na kinatumika dk 15.View attachment 1211420View attachment 1211421View attachment 1211422
Wakuu Kwema?
Bluetooth Ear pods za Kisasa zinauzwa,
Zinaunganisha Mpaka umbali wa mita 8
Zinasikika vizuri sana,
Unaweza kusikilizia mziki au kuongelea na Simu,
Zinakuja na Charger Pamoja na Manual yake yenye maelekezo yote jinsi ya kutumia.
Bei ni TZS 9,000/= tu kwa 1Pc ambayo preferably ivaliwe sikio la kulia. Napatikana Mbezi Mwisho Stand, ukitaka kuletewa ulipo utagharamia nauli.
Mawasiliano
0769596149 na 0714 315 256
Matatu Mkuu
Haviwezi kutumika bila kuchajiwa Mkuu, sababu ni wireless. Ila ukishachaji kikawa full kama ni kwa matumizi ya Simu tu waweza kutumia hata siku 2kwa hyo hata ukiskiliza audio ya simu mpaka uichaji au...?
yani haitumiki kwa tumizi lolotr mpaka uchsji mkuu au..?
Ukisikiliza mziki mfululizo mi natumia mpaka masaa matatu. Na kwa Simu tu mpaka siku 2 au zaidi nafikaga. Sio dakika 15Hivi vidude navipenda sema tu vinachajiwa dk 15 na kinatumika dk 15.
Ha ha ha,mkuu jitahidi kukata na kucha siku moja moja mkuu.
nikija dar ntakutafuta nizipate hzo kitu.
samahani kwaumbea wangu
Hayo mambo ya kujizungushia mi waya kama unataka kujilipua vile yamepitwa na wakati.Earphone bila wire ni Kama umevaa hereni tu
🤣🤣🤣mkuu jitahidi kukata na kucha siku moja moja mkuu.
nikija dar ntakutafuta nizipate hzo kitu.
samahani kwaumbea wangu