Sijakuelewa mkuu!jinsi ya kufomati
Using the Jog Dial -
Jog Dial - UP * Down Down * Down *
This would give you an option to format the Internal Disk.
kumbuka hii itafuta kilakitu kwenye simu yako na itakuwa kama ilivyotoka kiwandani siku ya kwanza,
so backup your data before
Mkuu pole maelezo yangu pengine hayapo clear,Sijakuelewa mkuu!
wakubwa naleta mezani matatizo mawili,lakwanza komputa nimeinstal antivirus ikascan baada yamuda ikarestart halafu inaonyesha blue screen haina chochote,
Jog Dial ni hiyo scroll-er iliyopo kwenye ubavu wa kushoto wa simu yako. jog dial up maana yake unascroll juu, jog dial down unascroll chini, then hiyo * ni unabonyeza key ya 'nyota' kwenye keyboard yako kwa kufuata mtiririko aliyokuandikia mkuu Paulss hapo juu,,fuatilia demonstration ya video kwenye hii link inavyoonyesha alafu utapata service menu.. (YouTube - ‪Sony Ericsson P1i Service Menu‬‏)Sijakuelewa mkuu!
Wakubwa nimeamini hapa panasaidia sana,naona ss elimu tz imekua especialy kwenye mambo ya it,mawazo yenu nimeyakubali na yanasaidia,ila naomba niendelee kusema kuwa f8 nimebonyeza sana hakuna kitu window yake ni xp,kila nikibonyeza hakuna kinrespond bali scree inarudi kuwa blue nakuformat sitaki kwani nina mamabo muhimu yameseviwa ndani nilitaka kwanza niyapate