Ahahahahaaah!!cheki jamaa anavyochungulia! wivu tu!
Dah,jamaa inabidi saloon sasa,awe na sura walau kama ya Kikwete
kweli kabisa.Hapo ZItto anamwambia mheshimiwa kuwa sas uanze kunyoa ndevu, ila pole kwa kazi ngumu uliyo ichapa
Mrdashi, this is unfair comment, JK ni rais wa nchi na anastahili kuthaminiwa kama mwananchi yoyote, matusi ya kumdhalilisha mtu hayafai, kumbuka comments tunazotoa hapa hata watoto na wajukuu zake wanasoma, it is quite unfair