Mambo hayaendi maisha magumu usikate tamaa....
Mwenyezi Mungu ana njia tatu za kujibu maombi ya mtu.
1: "Ndio" anakupa unachotaka.
2: "Hapana" anakunyima kile unachotaka, na kukupa kile anachohisi ni bora zaidi.
3: "Subiri/vuta subra/kuwa mvumilivu" anakusubirisha mpaka wakati ule anaohisi ni sahihi kukupa ulichohitaji.
Kwa lolote lile unalopitia/unalohitaji, usichoke kuomba.
Ukijibiwa, usikose kushukuru.
Ukipewa tofauti na ulichoomba, amini hicho ndicho unachostahili. Kuwa mwepesi wa kushukuru.
Hali kadhalika, usichoke kuwa mvumilivu ikiwa majibu ya maombi yako yatachelewa.
Jua tu, muda wako ukifika baraka zako zitamiminika kama mvua na hakuna wa kuzizuia.
Bless you!
View attachment 3060357