Blender

Njugu mawe

Member
Sep 8, 2023
29
31
Kuna hizi blender zinaitwa SILVER CREST zinauzwa bei rahisi sana hadi 55,000 alafu wanaziita Heavy duty, kwanini zinaonekana bei rahisi sana lakini zinauwezo mkubwa,

Wataalumu mnipe siri kuhusu kifaa hiki nahitaji kununua, inaweza kuwa zina madhaifh flani ndiyo maana zimeshushwa bei na xinaonekana zimetoka ujerumani
 
Picha Kwanza mkuu
 
Hakuna Brender ya chin ya 250000 ambayo unaweza kukupa matokeo mazuri kama unafanya biashara ya juice , hapo hamna brennder ni kopo tuu, DK mbili inatoa Moshi , kwa Matumizi ya mara moja moja sio mbaya ila sio kibiashara
 
Hizi Breander nyingi zilizopo Bongo sio Heavyduty ni counterfeit au kwa lugha nyingine copy, Kama kuna mtu unaemuamini anaeuza mtumba kutoka Ulaya huko utapata OG Heavyduty. Dukani mpya wengi makanjanja.
 
Hizo ni tu takataka, mbovu hutoboi nayo mwaka labda kama uwe una blend mara moja kwa miezi 3 πŸ˜‚πŸ˜‚ na zimejaaa sana madukani.

Saiv wafanyabiashara wamejaza takataka za bei rahisi za kichina, haimaanishi china hamna bidhaa nzuri bali wafanyabiashara na tamaa zao za kupata faida za haraka.

Huwezi pata blender ya maana kwa 55000 haiwezekaniii kamweee, tena unaambiwa heavyduty.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…