Mkuu wewe ni Master. Hiyo 'Blackmart' application ya Android ni noma. Nimeipata na inafanya kazi vizuri.
Nime-download vitu vingi sana. Ila nisaidie kitu kimoja. SPB shell iliyomo humo haijawa 'Cracked!'
Wewe ulitumia mbinu gani kui-install? maana mimi inanidai serial keys.
Ila thanx mkuu