BLACKBERRY WAZINDUA SIMU MPYA

poposindege

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
456
Reaction score
175
Watengenezaji wa simu za Blackberry jana wamezindua simu Mpya itakayofahamika kama
BlackBerry (Mercury) KEYone. Simu za Blackberry zinategenezwa na kampuni ya kichina inayofahamika kama TCL. Simu hiyo inatarajiwa kuanza kuuzwa mwezi April mwaka huu kwa bei kati ya $549/£499/€599.
Simu hiyo itakuwa na physical keyboard na touch keyboard pia.
OS yake ni Android Nougat 7.1
2GHz octa-core Qualcomm Snapdragon 625 processor
3,505mAh battery with support for Quick Charge 3.0 (50 per cent charge in roughly 36 minutes) RAM 3GB
32GB of internal memory
microSD card slot inakubali mpaka ya ukubwa 2TB.
ukubwa wa kioo ni 4.5-inch
 
Ni bonge moja la simu kali kwa wanaozingatia vigezo, kwangu mimi tatizo ni hiyo Physical keypad, hii kitu ni kama imepitwa na wakati hivi kwa matumizi ya simu janja...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…