A A-1 Member Joined Mar 20, 2013 Posts 6 Reaction score 1 Apr 25, 2013 #1 Ni blackberry curve one ipo katika hali nzuri inauzwa kwa shilingi laki moja na hii ni kwa wakazi wa dsm kwa mawasiliano 0718071138 WAHANE
Ni blackberry curve one ipo katika hali nzuri inauzwa kwa shilingi laki moja na hii ni kwa wakazi wa dsm kwa mawasiliano 0718071138 WAHANE
Enny JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 962 Reaction score 131 Jun 4, 2013 #2 Vipi ulishauza blackberry curve?
M mwita ke mwita JF-Expert Member Joined Aug 13, 2010 Posts 8,058 Reaction score 3,755 Jun 4, 2013 #3 laki moja ndio sawa na bure haaa, mshahsara wa mtu huyo na anakatwa sdl
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,936 Reaction score 30,050 Jun 4, 2013 #5 Odometer??
DullyJr JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 13,993 Reaction score 11,871 Jun 4, 2013 #6 A-1 said: Ni blackberry curve one ipo katika hali nzuri inauzwa kwa shilingi laki moja na hii ni kwa wakazi wa dsm kwa mawasiliano 0718071138 WAHANE Click to expand... kimeo, sema kabisa ina tatizo gan?ucje kupotezea watu mda mi ntakupga makofi na kimeo nachukua na ela ckupi oohoo..!
A-1 said: Ni blackberry curve one ipo katika hali nzuri inauzwa kwa shilingi laki moja na hii ni kwa wakazi wa dsm kwa mawasiliano 0718071138 WAHANE Click to expand... kimeo, sema kabisa ina tatizo gan?ucje kupotezea watu mda mi ntakupga makofi na kimeo nachukua na ela ckupi oohoo..!
Kiwa JF-Expert Member Joined Oct 4, 2011 Posts 2,102 Reaction score 910 Jun 4, 2013 #7 Nlivyoona sawa na bure nikajua labda sh 100! Kumbe ni kima cha chini cha mfanyakazi wa serikali! Du kweli marketing strategies Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Nlivyoona sawa na bure nikajua labda sh 100! Kumbe ni kima cha chini cha mfanyakazi wa serikali! Du kweli marketing strategies Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
TIQO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2011 Posts 13,786 Reaction score 2,102 Jun 4, 2013 #8 BB zimeshuka thamani sana.
Loy MX JF-Expert Member Joined Mar 26, 2012 Posts 1,253 Reaction score 313 Jun 4, 2013 #9 A-1 said: Ni blackberry curve one ipo katika hali nzuri inauzwa kwa shilingi laki moja na hii ni kwa wakazi wa dsm kwa mawasiliano 0718071138 WAHANE Click to expand... Mileage..... Imetumika miaka mingapi???
A-1 said: Ni blackberry curve one ipo katika hali nzuri inauzwa kwa shilingi laki moja na hii ni kwa wakazi wa dsm kwa mawasiliano 0718071138 WAHANE Click to expand... Mileage..... Imetumika miaka mingapi???
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 59,248 Reaction score 69,827 Dec 29, 2015 #10 Haa Hatari Sana
Latrice JF-Expert Member Joined Jan 30, 2020 Posts 2,389 Reaction score 2,366 Mar 31, 2020 #11 DullyJr said: kimeo, sema kabisa ina tatizo gan?ucje kupotezea watu mda mi ntakupga makofi na kimeo nachukua na ela ckupi oohoo..! Click to expand... Hukumtingisha kweli huyo mwananzengo?
DullyJr said: kimeo, sema kabisa ina tatizo gan?ucje kupotezea watu mda mi ntakupga makofi na kimeo nachukua na ela ckupi oohoo..! Click to expand... Hukumtingisha kweli huyo mwananzengo?