Hansy wa East JF-Expert Member Joined Jul 8, 2012 Posts 446 Reaction score 232 Apr 7, 2013 #1 Wakuu nmenunua kablack berry curve kwa jamaa hapa ila jinsi ya kuunga net ndo inantoa kijasho maana jamaa alifunga service zote km vle watsapp n.k nimeweka kifurush cha bb intrnt ila bado haitaki kufunguka sasa kwa yeyote anayelijua hli msaada plz
Wakuu nmenunua kablack berry curve kwa jamaa hapa ila jinsi ya kuunga net ndo inantoa kijasho maana jamaa alifunga service zote km vle watsapp n.k nimeweka kifurush cha bb intrnt ila bado haitaki kufunguka sasa kwa yeyote anayelijua hli msaada plz
MOST WANTED JF-Expert Member Joined Aug 16, 2011 Posts 209 Reaction score 178 Apr 7, 2013 #2 zima then washa alafu jaribu ku browse internet
Edgartz JF-Expert Member Joined Feb 26, 2010 Posts 241 Reaction score 23 Apr 17, 2013 #3 Toa betri then weka kitu kitakuwa fresh