Hello, ninauza simu tajwa hapo juu, haina tatizo lolote na ni original phone. Nimetumia muda mrefu(zaidi ya mwaka). Kama utavutiwa kuwa nayo pls sms kwenda 0755 78 34 20. Picha nitatuma kwa whatsapp. Asanteni.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums