Hi JF
Ni kama uzi unavyojieleza, katika mishe zangu za hapa na pale mara kadhaa nimekutana na baadhi ya wadada warembo, watanashati, waliojipamba vizuri wakakolea ila ukiendelea kumtazama vizuri sana unagundua blauzi alovaa haina kifungo na badala yake amefunga kwa pini ya kufungia nepi! Yan anakuwa ameharibu sana mwonekano mzima wa utanashati wake, nini tatizo dada zangu?
Hata wa kaka ni warembo cku hizi, urembo unatokana na kujiremba....cku hz wakaka wanajirembaView attachment 507623
mimi nimeivaa sikioniNaona umeamua kunisema, kwenye pochi yangu pini haikosekani, hat saivi nimefung blauz yangu na pini.