Ngosha2012
Member
- Feb 18, 2013
- 6
- 1
swali zuri mkuu. Zipo sababu nyingi amenieleza lakini kikubwa ni maslahi.Ngoja waje mkuu,
Ila kwanini aliacha huko alikokua akifanya kazi mwanzo?
Yupo Mbezi, Dar es salaamYuko Mkoa gani sasa hujasema mbona.
Mkuu Yupo mbezi, Dar es salaamYuko mkoa gani mkuu,natafuta mtu wa stationery..
anaweza kuwa day house girl (part time)Anaweza kuja kua house girl??
anaweza ya kuja na kuondoka jioniHousegirl???
Basi tumeshindana.anaweza ya kuja na kuondoka jioni