HOMA INAZIDI KUPANDA KUELEKEA FINALI YA UEFA.
25/05/2013.
uwanja wa wembley ndio mbivu na mbichi zitajulikana na atatwaa ndoo kati ya wakali ya ujerumani.
DONTMUND WANAJIVUNIA FUNDI WAO REUS NA MPACHIKA MABAO WAO LEWANDOSK.
Bayern wanajivunia mafundi wao:Ribbery na Roben.
NANI BINGWA???????