Ni baadhi ya hospitali ndio zinakubali kukuhudumia ndugu, ilinikumba mimi nimepatashida mno, ubabaishaji mwingi. Ila usife moyo jaribu kwenda na kuangalia itakavyokuwa pengine zone hiyo ni wastarabu.